karanga

A karanga (call out, summon) is an element of cultural protocol of the Māori people of Aotearoa New Zealand. It is an exchange of calls that forms part of the powhiri, a Māori welcoming ceremony. It takes place as a visiting group moves onto the marae or into the formal meeting area. Karanga are carried out almost exclusively by women and in Māori language, and are initiated by the tangata whenua or hosts, and responded to by the visitors.
Karanga follow a particular format in keeping with protocol. This includes exchanging greetings, paying tribute to the dead (especially those who have most recently died), and referring to the reason for the groups' coming together. It has an important function in building connections between tangata whenua and manuhiri (guests), and setting the agenda for the gathering.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga. Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi Aidha nimeongea na wa kulima wengi wanadai karanga hazifai kuwekwa mbolea. Nimeamua nifanye majaribio ya kulima nusu heka...
  2. SAYVILLE

    Kwa nini bado wafanyabiashara wa rejareja wanauza mchele na karanga ambazo hazijachambuliwa?

    Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sana na sijawahi kupata jibu. Inakuwaje unaenda dukani unakuta muuzaji anauza mchele au karanga ambazo hazijachambuliwa? Inafikirisha sana karne hii na zama hizi bado tunanunua mchele wenye mawe, na kwa kuwa unapimwa ule uchafu nao pia unalipia. Hivi...
  3. P

    Karanga kubwa kutoka Mawali

    KARANGA KUBWA KUTOKA MALAWI Bei 25kg 105,000/= Maongezi yapo kidogo zipo tani 300 Location Moshi Kilimanjaro Namba 0682 761740. Karibuni wateja.
  4. Metronidazole 400mg

    Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

    Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa. Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili (...
  5. USSR

    Nani anazifahamu hizi karanga na zinakopatikana

    Kama unazo njoo inbox USSR
  6. P

    Mashudu ya Karanga nauza nipo Dodoma

    Mashudu mazuri ya karanga nauza nipo Dodoma bei maelewano nicheki kwa namba zangu +255682761740 tufanye biashara iliyonyooka ipo Tani 30 kilo sh.800
  7. Friedrich Nietzsche

    Napata wap Sealer / vifungio vya karanga kwa mwanza??

    Wakuu natafuta ivi vibanio vya kufungia karanga
  8. GENTAMYCINE

    Mliojaribu huu Mseto Tukuka wa Nazi Mbichi, Mtindi, Karanga Mbichi, Konyagi, Asali na Moshi wa Pombe Jani ni kweli vinamfanya Mtu aone Moto Bedroom?

    Nipeni Majibu yenu haraka kwani kuna Mtu kanilia sana Vyangu na Kunikwepa, lla Leo Kajaa na yuko sasa Maghetoni.
  9. JOHNGERVAS

    Kuna nini kimejificha nyuma ya hawa warembo wanaouza karanga mtaani?

    AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi karibuni kumeibuka kundi kubwa sana la akina dada warembo ambao wanazunguka mtaani hasa majira ya Jioni...
  10. F

    Kwanini biashara ya kutembeza karanga zilizokaangwa imekufa?

    Hii biashara ilikuwa ikifanywa na vijana wengi miaka ya nyuma. Imekufa kibudu. Shida nini? Ni biashara ipi tena ya zamani imepotea au kufa?
  11. Stephano Mgendanyi

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti. Haya yamebainishwa bungeni...
  12. lord atkin

    Kesi ya diamond karanga, Wasafi na Kusaga ilivyofika mwisho mahakamani

    DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI Na Luqman MALOTO INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman alipaa nje ya dunia, akailazimisha sayari kurudi kinyumenyume. Kwa sayari kurudi reverse, muda nao...
  13. M

    Nahitaji Karanga kavu zenye maganda

    Nahitaji karanga kavu zenye maganda. Nipo Dar. Kwa mwenye nazo au mwenye kujuana na mwenye nazo popote alipo ani PM
  14. Li ngunda ngali

    Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

    Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo. Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col! Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga...
  15. Kilimbatzz

    CAF CL 2023/2023 Yanga anaazimia kwenda kufyeka kichaka pekee cha karanga Simba alichobaki nacho CAF CL

    Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al Ahyl sijui Raja...." Utafikiri Hawa hawafungiki Sasa Yanga ashaonja damu na hatoacha, Waarabu...
  16. jastertz

    Combination ya Nazi, karanga na muhogo.

    Habari wana JF Afya! Jana katika soko fulani nikakutana na jamaa anauza powerbank, mchanganyiko wa nazi, karanga, na muhogo kwa ajili ya mambo yetu yale. hizi ukila zinakua ni za muda mrefu au unajibust kwa muda tu...??? vipi ukila alafu usikutane na mwenza wako madhara yake ni yapi..?
  17. N

    Kilimo cha Karanga

    Wajuvi wa mambo heshima kwenu wote! Nimejikuta natamani Sana kilimo cha karanga baada ya kuona soko lake liko juu, pia nahisi ni kilimo chake ni rahisi. Karibuni wazoefu mnipe mchanganuo ya mbegu nzuri, mapato kwa heka moja! Ahsanteni.
  18. Kaka Ibrah

    Bei ya karanga mbichi

    Naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla katika mkoa wa Songwe na Mtwara katika ujazo wa kilo, debe au gunia zikiwa tayari zimesha menywa
  19. Kaka Ibrah

    Naomba kujuzwa bei ya karanga mbichi Mtwara na Songwe

    Naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla katika mkoa wa mtwara na songwe, ktk ujazo wa kilo, debe au gunia zikiwa zimeshamenywa
  20. Kaka Ibrah

    Bei ya karanga mbichi ni shilingi ngapi?

    kwema wadau? Samahani nilikuwa naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla jumla ni sh ngap hapo ulipo, hasa kwa mkoa wa songwe kuwa ni shilingi ngapi?
Back
Top Bottom