Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama.
Amesema katika mipaka ikiwemo viwanja vya ndege na bandari, wasafiri 18 kati ya 417,148 waliochunguzwa...
Watu 193 wakiwamo watumishi wa afya waliochangamana na wagonjwa wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera wamewekwa karantini kwa ajili ya kufatiliwa maendeleo yao ya kiafya.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada zinazoendelea kufanywa na serikali kudhibiti ugonjwa huo, Mganga...
Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia.
Pia, Taarifa iliyotolewa na Mamlaka imesema wageni watalazimika kufanya kipimo cha kubaini hali zao (PCR) lakini...
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58
Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
Vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani hapa, vimewakamata raia wawili wa Uganda walioingia kwa kutumia usafiri wa jahazi katika Bandari ya Wete ambapo wamewekwa karantini maambikizi ya Ugonjwa wa Ebola.
Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama MKoa wa Kaskazini Pemba imefika katika Bandari ya Wete...
Watu 27 wamepoteza maisha na 20 kujeruhiwa wakiwa njiani kuelekea kwenye kituo cha karantini cha Covid-19 wakati basi lao lilipopinduka katika eneo la Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China.
Guizhou imerekodi zaidi ya maambukizi mapya 900 ya COVID19 ndani ya Septemba 16 na 17, 2022 pekee.
Baadhi...
Ubelgiji na Uingereza zimekuwa Nchi za kwanza kuanzisha karantini ya lazima kwa wagonjwa wa monkeypox ambao umekuwa ukisambaa kwa kasi katika mataifa tofauti hivi karibuni
Ubelgiji imedai kuwepo kwa watu wa nne wenye maambukizi ya virusi hivyo huku duniani kwa sasa idadi ikitajwa kuwa ni zaidi...
Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini.
Mechi ya leo kati ya Leeds United na Aston Villa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron.
Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
Korea Kusini imerekodi maambukizi 5,266 ya COVID-19 kwa Desemba 1, maambukizi ambayo ni makubwa, ikiwa ni wiki mbili baada ya kuripotiwa kwa kirusi cha Omicron.
Wasafiri wote watatakiwa kukaa karantini kwa siku 10 hata wale waliopata chanjo kamili kwa kuwa pia huathiriwa na aina mpya ya kirusi...
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7
Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021)
Hatua hiyo inamaanisha...
Inaelezwa kuwa kuongezeka huko kumeanza baada ya watu kutakiwa kukaa majumbani ili kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (ONS) zinaonyesha kuna vifo 7,423 chanzo kikiwa ni unywaji pombe sawa na ongezeko la...
Serikali ya Tanzania hii leo imetoa mwongozo mpya kuhusu ugonjwa wa corona ambapo wasafiri watakaokuwa wanatoka katika nchi zenye maambukizo ya virusi vipya vya corona watatakiwa kukaa karantini kwa siku 14.
Mwongozo huo uliosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya nchi hiyo Profesa Abel...