Habari wana JF wenzangu,
Jamani mimi mwenzenu mm ni kijana nimebahatika kupata elimu ya kidato cha sita. Na hapa sasa mzee wangu kaamua kunipeleka kwenye machimbo ya dhahabu kufanya kazi ya kusimamia karasha na kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo na ukiangalia mimi hapa ni mgeni na...