Kabla sijafuatilia historia yake sikuwahi kujua kama anatimiza miaka 31 mwaka huu.. Anaonekana ni mdogo, ni kama hakui hivi.
Shin Se Kyung ndio jina lake na of course ameigiza series nyingi sana, binafsi nilianza kumuona kwenye FASHION KING (2012), THE GIRL WHO SEES SMELL (2015) na yangu pendwa...