karatu

Karatu District is one of the seven districts in the Arusha Region of Tanzania. It is bordered by the Ngorongoro District to the north, the Shinyanga Region to the west, the Monduli District to the east, and the Manyara Region to the south and southeast.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Karatu District was 178,434. By 2012, the population of the district was 230,166.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkurugenzi Karatu: Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chachu ya maendeleo kwa wanawake wa wilaya ya Karatu

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Juma Hokororo, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kama chachu ya maendeleo kwa wanawake wa wilaya ya Karatu kutokana na uwezeshaji wake mkubwa wa kiuchumi na kijamii, kwa...
  2. Meneja Tanesco Karatu jiuzulu

    Imekua kero umeme Karatu mjini upo huku Endabashi mnakata hovyo na mnatuunguzia vifaa. Achia ngazi waje wanaoweza unakiangusha chama cha CCM
  3. Wanariadha wasusia Karatu Festivals baada ya Henry Tandau kumuita Alphonce Simbu Msaliti

    Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa...
  4. LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Karatu: Hakuna wagombea waliolazimishwa kujitoa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Karatu

    Mambo ni moto, mi nawasogezea tu taarifa karibu, muda wa kufanya maamuzi ukifika mnakuwa na taarifa zote muhimu. Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
  5. Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

    Jamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
  6. B

    WMA yawapongeza Wakulima Karatu kuzingatia matumizi ya vipimo sahihi

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha na kuridhishwa na namna wakulima hao wanavyozingatia matumizi ya vipimo sahihi...
  7. Watu wa Karatu nini kimewapata hadi kuanza kujenga mabondeni?

    Nimesikitishwa sana na ninachoona mtandaoni kuhusu watu wa Karatu kukumbwa na mafuriko na nyumba zao kuzingirwa na maji. Mungu awatangulie kwenye hiki kipindi kigumu. Lakini nimeshangaa imekuwaje watu wa Karatu kuanza kujenga kwenye bwawa ambalo kila mwaka hujaa maji? Inakuwaje serikali iruhusu...
  8. CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu. Pia soma: Chalamila: Sina taarifa za...
  9. Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

    Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi. Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini kukwepa Kukamatwa. Soma: Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana
  10. Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  11. KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
  12. Mbunge Zaytun Swai Akagua Miradi ya Maendeleo Karatu

    Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Karatu, Mhe. Daniel Awack akiambatana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Swai wakiwa katika Ukaguzi wa mradi wa scheme ya umwagiliaji bonde na Eyasi uliotengewa fedha kiasi cha Tsh bil 38. Mbunge Zaytun Swai ametoa Shukurani kwa Serikali ya awamu ya...
  13. Vijiji Vyote Vilivyopo Wilaya ya Karatu na Monduli Kufikiwa na Umeme

    VIJIJI VYOTE VILIVYOPO WILAYA YA KARATU NA MONDULI KUFIKIWA NA UMEME. Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea na hatua ya kusambaza umeme katika maeneo ya Wilayani Monduli na Karatu ili kuhakikisha Vijiji ambavyo havijafikiwa umeme vinafikiwa. Naibu Waziri wa Nishati...
  14. Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

    Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
  15. Karatu: Ngome imara ya upinzani (CHADEMA) kwa upande wa bara

    Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote. Kwa...
  16. M

    Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  17. Wapi zaidi kati ya Mbinga na Karatu

    Nimeona kuna ligi ya kupambanisha miji humu JF. Leo nimeona nije na hii miji miwili midogo. Karatu iliyoko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha na mji wa Mbinga ulioko kusini mkoani Ruvuma. Sehemu zote mbili nimefika na ninazifahamu. Zinafanana sana kifursa. Wewe mji upi mkubwa na upo na fursa...
  18. Kwa nilichokiona kutoka Karatu mpaka Kilimanjaro, nakusihi Rais Samia ifungulie CHADEMA

    Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa waliofiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro. Nianze Kwa kuusema ukweli Mimi ni mwanasiasa nisiyekipenda na stokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi narudia Tena sitokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi...
  19. Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori

    Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
  20. T

    Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…