Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa.
Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa
Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama.
Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora.
Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo...
Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu.
Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi?
Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli?
Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.