Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo.
Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...