karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
  2. T

    Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

    Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa akila mke wake. Siku ya siku ikafika yule bwana akawafumania baada ya lile fumanizi maisha ya yule...
  3. Rev Msigwa, Karibu CCM ila Usisahau hilli Ni Baada ya Dau Kifikiwa

    CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
  4. Karibu Mchungaji Peter Msigwa

    KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM. Na Elius Ndabila 0768239284 Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda. Wote wapo sawa. Mimi kabla sijatoa hoja zangu ninaunga mkono ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa...
  5. Pre GE2025 Lema, nakusalimu huko uliko, au unasogeza muda kidogo hili lipoe? Karibu

    #Tetemeko2025. Lemma ni moja ya wanasiasa wapenda maendeleo, na anakubalika na wananchi wa itikadi zote. Hata mimi namkubali, na ninamuunga mkono. Mara baada ya Msigwa kushindwa uenyekiti Nyasa, mara moja Lemma alitangaza kutogombea uenyekiti kanda ya kaskazini
  6. D

    Tetesi: Wachezaji karibu wote wa Yanga wana Offer mezani

    Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job - Europe, Yao - morocco , lomalisa - SA, Diarra - morocco, hadi Aucho ana offer mezani.. i suspect...
  7. K

    Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

    Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza. Nyote mnakaribishwa....
  8. M

    Hivi huyu kweli siyo Boss wa Hamas Ismail Haniyeh kapiga picha karibu na Mwijaku alivyoenda kuhiji?

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh upande wa kulia. Mwijaku ni msomi mhamasishaji na mchekeshaji maarufu sana nchini.
  9. Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  10. Karibu Prince Jesuxy stationary centre

    Prince jesuxy stationary centre tunatoa huduma kama vile printing, typing, laminating, photocopying, tunaprint ID, mitihani, matangazo, tunatengeneza vitini na vitabu, paspot size, tunapanga matokeo ya shule(excel), tunatoa picha aina zote na ukubwa tofauti, na huduma nyingine nyingi tupo...
  11. KERO Ukatili dhidi ya wakazi maeneo karibu na reli ya SGR

    Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio wananchi wanategenea kuvuka zimefungwa kwa wire. Ni unyanyasaji na ukandamizaji wa haki za msingi...
  12. Unajua nini kuhusu chatu karibu kwenye jamvi?

    Huyu ndie python OG hebu tueleze
  13. W

    Howo Truck used pamoja na spare parts zote za Howo

    Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo. Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa. Mawasiliano: 0748270719 Karibu sana
  14. Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza haraka🙏

    Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price...
  15. Computer4Sale Tunauza Laptop kwa bei nafuu

    Zipo PC 10 tu nazitoa kwa bei ya ofa ya 385,000/= haina punguzo Dell 3189 Touch screen✅ Intel cerelon SSD 128GB RAM 4GB CONTACT :0697224996
  16. K

    Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
  17. Ikiwa tunashindwa kujitosheleza kwa rasilimali zetu kama taifa basi, haina haja ya CCM Kubaki katika kuongoza taifa hili

    Mr Nice Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi akachimbachimba akapata almasi hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2 akatupa jembe lile akaenda mjini kanunua moto car,sasa ni gariii. Naam, Muheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano, nakusalimu kwa salamu yako ukweli nimeona jitihada zako baada...
  18. Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  19. Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
  20. Teknolojia inavyotusogeza karibu na Shetani, mbali na MUNGU

    Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu ndipo tunapoelekea na kulazimishwa kuishi. Watawala wa dunia kwanza walitutaka tuwe bize sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…