Jumuiya ya wafanyabiashara Kariakoo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanatarajia kufanya tamasha walilolipa jina la 'Kariakoo Festival ' kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.
Akizungumzia tamasha hilo Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Karikakoo, Martin Mbwana amesema...