karimjee hall

  1. GENTAMYCINE

    Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

    Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
  2. milele amina

    Ninaomba mwenye utaratibu namna ya kukodisha Karimjee Hall kwa miaka mitatu mfulilizo kwa kazi maalum! Kuanzia Tar 20.12.2024

    Ninawasilisha!
  3. Stephano Mgendanyi

    Komredi Kawaida Awasili Karimjee Hall, Mahafali ya Seneti Mkoa wa Dar es Salaam

    🌍KOMREDI KAWAIDA AWASILI KARIMJEE HALL, MAHAFALI YA SENETI DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasili Karimjee Hall ambapo anashiriki Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 16 Juni...
Back
Top Bottom