Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo
Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
Habari za wakti huu,
Ni matumaini yangu kwamba nyote mnaendelea Vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Hata mimi niko Salama.
Ni muda mrefu sana tangu niweke andiko rasmi hapa Jukwaani, hata hivyo nimekuwa nikiendelee kushirikiana na wadau katika kutafuta suluhu na fursa za kukabiliana na...
Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika.
Kwenye...
Kitaa unakuta Askari kafunga watu kama 20 hivi mashati wanapelekwa kituo cha polisi. Kosa Ni UZEMBE na UZURURAJI daah.
**Mahakamani Mzembe na Mzururaji ushahidi wa kumtia mtu hatiani huwa ni nini?
Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006
.
Wafa Sultan: Mgongano tunaoshuhudia duniani kote sio mgongano wa dini, au mgongano wa ustaarabu. Ni mgongano kati ya vitu...
CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
JINSI YA KUJENGA FAMILIA IMARA KARNE 21
Anaandika, Robert Heriel
Kila mtu duniani anapenda angezaliwa kwenye familia ya Baba na Mama, yenye upendo. Hakuna kama tabasamu lenye upendo ndani ya Familia. Malezi na makuzi ya Watoto ndani ya familia imara humjenga mtoto kuwa mtu Bora mwenye manufaa...
Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa.
Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi ya viwanda yaani mashine zilianza kufanya kazi na kuibuka kwa uzalishaji mkubwa wa bidhaa na hivyo...
Wanaume haswa vijana wa kiume tuwe na mjadala mkubwa ni wapi jamii inapokosea kuandaa mtoto wa kiume kuchukua ile nafasi yetu tuliyopewa na God ya "mwanaume utakuwa kichwa".
Kuna mambo personal nimeyaona na yanendelea kufanyika na yamekuwa kama kawaida kwenye jamii ambayo yanampa uanume...
Silaha za laser "Laser weapons" ndio silaha zinazotegemewa kuwa silaha za viwango vya juu zaidi duniani kuyasaidia majeshi dhidi ya makombora yote katika karne ya 21.
Silaha za laser ni silaha za aina gani?
Silaha za laser ni silaha zitakazokuwa zinatumia nguvu za miale ya laser kuharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.