Habari wanajamii, natafuta Cassette tape au Kanda za kwaya za zamani kama:
1. Tumaini Shangilieni kwaya - Arusha
2. Barabara ya 13 - Uliyankulu
3. Mtoni Evangelical choir - Lulu
4. Kwaya ya Patandi
5. Vijana Mabibo Lutheran - Mzabibu
Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeweza kunifanikisha kupata...