Habarini wakuu.
Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .
Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?
Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica...