Halotel hawana 4G
Narudia hawana 4G
Ninaishi katikati ya mji kabisa mita kadhaa tu kutoka minara yao ilipo lakini cha ajabu speed yake ni ya kobe yaani hata kb haifiki inatembea 5 bps yaan byte yaani hata kb hawafiki.
Ukiona imesoma hata 2.2k/s hapo ndo imejitahidi.
Nilidhani ni nyumbani...
Je, ni kweli kwamba Tanzania hakuna 4g?hii tunayotumia ni 3.5g na tumedanganywa na makampuni ya simu?
Wakuu nasikia hii 4g ya Bongo ni ya uongo na kwamba walichofanya wameleta tu 3g ya ulaya Marekani au China na kutuaminisha kuwa na ni 4G
Wanasema hii 4g ya Bongo ni chenga tu na ni sawa na 3G...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.