Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum.
Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...