Upande mmoja kuna Rais, Upande wa pili kuna Spika.
Hawa ni watu wenye nguvu nyingi sana katika nchi yetu. Kifupi wameshikilia mihimili mikuu miwili ya hatma ya nchi yetu.
Mwanzo tulidhani kwa kuwa tumepata viongozi wanawake, watakuwa ni watu cool, wasio na ego , wenye huruma na kuweka masilahi...