Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar.
Mkoa wa Kaskazini Pemba una Halmashauri mbili (2) na majimbo ya uchaguzi tisa (9) ambapo Jimbo la Kojani linaongoza kwa kuwa na watu...