kasomi tv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    Watanzania wanaoishi Ukraine wazungumza kuhusu hali ya hofu iliopo

    Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo. Vladimir Putin alitangaza...
  2. Kasomi

    YouTube imeingiza Faida ya Tsh. 19.9Trion kwa muda wa miezi 3

    Kampuni ya Alphabet ambayo inaimiliki Google na YouTube imetoa ripoti ya mauzo yake na faida ambayo imeingiza katika Q4 2021 (October, November na December). Alphabet imepata faida ya Dola Bilioni 75.3 sawa na Trilioni 174 Tshs. Hiyo ni jumla ya faida iliyopata katika biashara zake zote na...
  3. Kasomi

    Snapchat kuruhusu watumuaji kubadili username

    App ya Snapchat, mwezi huu itaanza kuweka sehemu ya kubadili username. Kampuni hiyo imetangaza leo kuwa watumiaji wake watakuwa na uhuru wa kubadili username kama ilivyo katika Instagram na Twitter. Hii itawezesha watu ambao walifungua kwa username za kawaida, kubadili username na pia wale...
  4. Kasomi

    YouTube yatoa mipango ya kuongeza Faida kwa content creators

    Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube. 𝗡𝗷𝗶𝗮 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗲𝘇𝗲𝘀𝗵𝗮 𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗼𝗿𝘀 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗳𝗮𝗶𝗱𝗮: ① Itaweka uwezo wa kuunganisha NFT na akaunti/channel ya...
  5. Kasomi

    Historia ya mtandao wa YouTube

    Historia ya mtandao wa YouTube YouTube ilianzishwa na Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim ambao awali wote walikuwa wafanyakazi wa PayPal. Hurley alisomea urasimu katika Chuo Kikuu cha Indiana ya Pennsylvania, huku Chen na Karim wakisomea kompyuta sayansi pamoja katika Chuo Kikuu cha...
  6. Kasomi

    Mfahamu Millard Ayo

    Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa...
  7. Kasomi

    Pasha: Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize

    BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize. Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
  8. Kasomi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu. - Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania. 1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma 2. Barabara ya mlima Kitonga...
  9. Kasomi

    Maneno haya yalinigusa mno japo yalikuwa hayanilengi mimi!

    Yamkini yalikuwa kwa ajiri yako wewe, unayesoma ujumbe huu. Au kama siyo wewe basi rafiki yako, na kama siyo rafiki yako basi ni ndugu yako. Na kama hao wote hayawahusu ila kuna kitu utajifunza. Ili ukawafunze wengine. UJUMBE HUU NI KWA AJIRI YA WANAWAKE Ila kwa kuwa hakuna mwanamke bila...
  10. U

    Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Back
Top Bottom