kasongo

Kasongo, also known as Piani Kasongo, is a town and territory in the Maniema Province in the east of the Democratic Republic of the Congo.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Rais Ruto: Mtaniua kwa majina, kutoka Zakayo hadi Kasongo

    Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
  2. Morning Glory1

    Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  3. Clark boots

    Nitashangaa kuona Kasongo yeye na kundi lake pale TPLB wataendelea kuwepo.

    Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu. Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
  4. Bila bila

    Ili kuokoa soka la Tanzania Kasongo na Boimanda mjiuzulu

    Hiki mlichofanya Leo ni aibu. Mkisoma barua yenu mnapata chochote cha maana Kwa nini mmeahirisha Mechi? Mnasema Simba hawajulisha Mamlaka yoyote kwamba wanakwenda uwanjani muda Fulani kufanya mazoezi. Nyie hao hao kwenye barua hiyo hiyo mnasema Simba walizuiwa na mabaunsa wanajulikana ni wa...
  5. Magical power

    UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....

    UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO..... Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba. Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi) Ni Mnyama anayepatikana kwenye Familia inayoitwa Suidae ambayo miongoni mwao Wamo Nguruwe Pori(Hogs na Pigs) na Nguruwe wa Kufugwa...
  6. Waufukweni

    Rais William Ruto: Nyie endeleeni kuniita "Kasongo" tu!

    Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana shida na baadhi ya Wakenya wanaomuita "Kasongo," jina la wimbo maarufu, ambalo limekuwa likitumika kama utani kwa baadhi ya watu wanaomwona kama mtu wa kawaida licha ya nafasi yake ya juu serikalini. Pia, Soma; - Rais William Ruto ameorodheshwa kama...
  7. beth

    Unaujua wimbo wa Kasongo! Je, unamjua Kasongo na kwanini wimbo huo uliandikwa?

    KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA. Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na kuzikwa kwenye makaburi ya Lang'ata. Alikuwa sehemu ya kikundi cha wanamuziki wa Congo waliohamia...
Back
Top Bottom