Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika maneno haya.
“Ndugu zangu siri ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni umoja miongoni mwa wanaCCM...