Kupitia jukwaa hili, mimi mwananchi wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu.
Kwa niaba ya Wananchi wa kata hii, naomba kuleta malalamiko yetu kwa viongozi hasa Mheshimiwa Rais na Waziri wa TAMISEMI.
Mwaka 2023 sisi Wananchi na Viongozi wa kata, tulikaa katika mkutano wa hadhara...