Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL.
Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua hii changamoto.
Asante viongozi kwa uwajibikaji
Pia, soma: KERO - TTCL iangalie huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.