Jaman hii shida iko mkoa wa Tanga wilaya ya Kilindi kijiji cha Masagalu kata ya Masagalu, wanawake wanaumia kwa ukosefu wa maji, maji yenyewe ni ya shida na yako mbali. Hivi hawa viongozi wanafanya kazi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.