Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani alipo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa CHADEMA wanamsaka. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la...