kata ya mwaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Wagombea 20 wa CHADEMA Kata ya Mwaya waswekwa Gerezani kesi ya jinai ya kumtishia mtendaji walipoenda kudai haki baada ya kuenguliwa

    Kwa mujibu wa Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA), Twaha Mwaipaya, amesema, Wagombea 20 wa CHADEMA katika Kata ya Mwaya, Jimbo la Kilombero, wapo magereza baada ya majina yao kuenguliwa bila rufaa wala pingamizi tarehe 18 Novemba. Viongozi na wanachama hao...
Back
Top Bottom