Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa kituo na Mratibu wa Elimu Kata, alikabiliwa na malalamiko makali kuhusu uandikishaji wa majina ya...