Usiwe kama samaki atoae machozi baharini yakamezwa na maji ukajiona wewe ni nunda wa mapenzi.
Maumivu ya mapenzi ni makubwa Sana Kaka/Dada hivyo yakupasa ufanye maamuzi magumu kwa nyakati ngumu. Kama unaishi kwa mateso na maumivu ukiamini atabadilika kesho na habadiliki ni Bora umuache aende na...