katani

The Beacon Street Girls (BSG) is a young adult book series by Annie Bryant. The series was created by Addie Swartz and initially published by B*tween Productions, then licensed by Simon & Schuster.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubunifu wa kutumia kamba za katani

  2. M

    Heko mbunge Katani kwa kutetea ajira za wahifadhi & Askari wanyamapori

    Wasalaam , Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa janga kubwa ambalo viongozi na watawala wamekuwa hawalipi uzito na umuhimu wake na hasa kigezo cha...
  3. R

    Mbunge Musukuma: Walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawanunui kamba za katani wanatumia manati, likijaa linatanuka

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma' Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza Rais, ambapo Wabunge walipata nafasi ya kutoa pongezi zao. Kwa upande wa Mbunge wa Geita Vijijini...
  4. M

    Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  5. Mbunge Katani: Mwigulu anadharau udaktari wa heshima

    Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya. Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
  6. Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

    Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.
  7. Natafuta soko la kamba za katani (sisal ropes & twines)

    Habari wadau, Bado naendelea kutafuta masoko ya kamba za katani. Bei ziko vizuri. Kwa mwenye kufahamu/uhitaji tafadhali tuwasiliane.
  8. Sisal Ropes (kamba za katani)

    Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani. Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link.
  9. Mkuu wa kituo cha Himo ondoa huyu askari mwenye nyota moja na trafiki walipo barabara ya Marangu karibu na mwanzo wa katani

    Ni sikitiko na masikitiko makubwa askari ambaye ana nyota moja yupo hapo barabarani akiwa amevalia kiraia na trafiki mmoja aliyevalia sare za kitrafiki, wanakamata magari yote yanayotoka Marangu Mwika, pamoja njia panda. Trafiki anasimamisha gari, hakagui gari, anachukua namba na leseni za...
  10. Kamba za katani, Twines & Ropes

    Bado natafuta soko la Kamba za katani. Mwenye kufahamu soko ama mwenye uhitaji tafadhali tuwasiliane.
  11. Mwenye kujua soko la kamba za katani

    Mwenye kujua soko zuri la kamba za katani, tafadhali naomba msaada. Na tuwasiliane
  12. W

    Bidhaa zinatotengenezwa kutokana na zao la mkonge

    Ningependa kuwafahamisha kuhusu bidhaa mbalimbali zinazoweza kutengenezwa kutokana na zao la mkonge lililochakatwa na kutengenezwa nyuzinyuzi (fibres). Nyuzinyuzi hizi baadae hutengenezwa kamba pamoja na mazulia makubwa. Miongoni mwa bidhaa hizo zinazoweza kutengenezwa kutokana na mazulia hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…