Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.
Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha endapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.
Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao...
Wakuu hope mko poa kabisa.
Straight to the topic.
Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji.
Sasa leo nakuja na malalamiko kuwahusu hawa jamaa kama ifuatavyo.
Mosi siku ya jumatatu nimwsafiri na bus lao (wanaloita vip) kutoka dar...
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE...
Habari wakuu.
Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand?
Natanguliza shukrani.
Yani Katarama ikotoka kesi hii inakuja kesi nyingine, kama sasa hivi wana soo nyingine huko LATRA.
sasa wahuni mtaani wanasema allys roho inamuuma maana competition ya Katarama ni next level ndio maana anamfanyia majungu na fitna.
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani.
Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo.
Ila kama ni kweli basi, naomba wawe fair kwa makampuni mengine pia, nilidhani Abood ya Bukoba na Mwanza wangekuepo, nilidhani...
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).
Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa...
Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20
Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni wakati chuma zikiliacha jiji la Dar kuelekea Mbeya kwa msafara wa kuvutia zikiwa full headlight, full...
Ni mwezi wa pili sasa tangu mabasi ya Katarama yenye brand ya Scania Irizar i6 kuonekana South Africa yakija Tanzania.
Kwa muda mrefu mpaka sasa bado hayajafika Tanzania licha ya mapichapicha mengi kusambaa mitandaoni. Leo yanasemekana yameonekana border ya Zimbabwe na Zambia.
Kihalisi safari...
Kwanza ndugu Kadogosa na ofisi yako ya Tanzania Railways Corp hadi hapo hongereni kwa hatua hiyo japo no kwa kuchelewa sana.
Nimepitia ratiba yenu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abilia, hadi mlipoamua kupachika hii banner ni mmejiridhisha sawasawa.
Mmetoa muda wa kutoka Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.