katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. TANROADS Katavi yalipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.4 kupitisha ujenzi wa barabara ya kwenda Bandari ya Karema

    Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi Bandari ya Karema. Ujenzi wa barabara hiyo ya lami unatajwa kuwa kichochea cha...
  2. Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  3. M

    DOKEZO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  4. Katavi: Mganga Mkuu wa Wilaya asema wapo kwenye mchakato wa kuajiri Mhasibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mlele

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu hali ambayo inaweza kusababisha upotevu wa fedha na kuwa Watumishi wasio na...
  5. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mlele – Katavi haina Mhasibu, watumishi wa kawaida ndio wanapokea fedha za Wagonjwa

    Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi ambao sio taaluma yao katika ukusanyaji wa pesa ya Hospitali. Pia imeonekana na kusadikika kuwa...
  6. M

    Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  7. Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  8. Katavi: Wananchi Tanganyika walalamika kufyekewa mahindi hekari 60

    Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua kiuchumi. Tukio hilo la kufyekewa mahindi limetokea hivi karibuni kutokana na kile kinachotajwa ni uvamizi...
  9. Katavi: Mwanafunzi wa Darasa la Tatu ajinyonga kwa kukosa nguo mpya siku ya Sikukuu

    Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 03. 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kasta Ngonyani, amesema tukio hilo limetokea mnamo...
  10. RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
  11. Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  12. Pre GE2025 Katavi: Katibu CHADEMA Wilaya ya Mlele: Tunamhitaji Lissu kwa sasa zaidi ya Mbowe

    Wanajukwaa! Habari iwafike kutoka CHADEMA. Baadhi ya makada wa chama hicho wamendelea kuonyesha upande katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa ambao utafanyika mwaka 2025. Inavyoenyesha Mbowe ni kama time yake ya kuachia ngazi wengi wanatamani kumuona Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti wa...
  13. Tetesi ya kibabe: Katavi kimewaka inasemekana Mkuu wa kituo kachezea kichapo Cha mbwa koko

    Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka. Habari ndio hivyo Pang Fung Mi
  14. Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

    Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...
  15. S

    Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

    Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo. Au wazee walihama au wapo wapii? Wataalumu wa demographics nipe
  16. LGE2024 Katavi: Polisi yajibu madai ya Mgombea wa CHADEMA kupigwa na Diwani wa CCM, yasema alifanya fujo

  17. LGE2024 Katavi: Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi, apiga Kura Kata ya Nsemulwa, apongeza mwitikio wa Wananchi

    Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa. Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali ya watu kujitokeza ni nzuri huku akisisitiza watu kujitokeza mapema kwakuwa utaratibu unaotumika ni...
  18. LGE2024 CHADEMA Katavi walalamikia Wagombea wao walioapa kama Mawakala kuondolewa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kuchela amebainisha kutokea kwa kasoro nyingi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. Akizungumza mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Shule ya Msingi Kashato, Manispaa ya...
  19. LGE2024 Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko akishiriki zoezi la Kupiga Kura Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa kwenye foleni kusubiri kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Cha shule ya Msingi Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani hapa. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi
  20. LGE2024 Katibu Uenezi CCM, Katavi Revocatus Kinyoto: Chagueni viongozi wenye uwezo

    Katibu wa siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Katavi Ndg.Teonas Revocatus Kinyonto Amewaomba wananchi kuchagua viongozi walioletwa na Chama cha Mapinduzi kwani wameandaliwa kuwa viongozi watakaotanguliza maslahi Mapana ya wananchi katika Maeneo yao. Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…