Katibas is a state constituency in Sarawak, Malaysia, that has been represented in the Sarawak State Legislative Assembly since 1979.
The state constituency was created in the 1977 redistribution and is mandated to return a single member to the Sarawak State Legislative Assembly under the first past the post voting system.
Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day
01/07/2021.
Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa
Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula.
Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki...
Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya.
Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe.
"Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya.
Siku hiyo ikifika kila...
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake .
Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya...
Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.
Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini.
Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za...
Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi.
Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.