Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.
Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi...
Baba : Mwanangu muabudu Mwenyezi Mungu na uzitii mamlaka juu yako ,serikali ,mahakama na bunge.
Anyigulile (Mimi) :Nimekusikia baba yangu kipenzi ,nitayaishi mawaidha yako.
Baba : Mwanangu litii sana dola la nchi kwani katika ardhi (Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania) linapotawala ndiko...
Makala hii ni muhimu katika kuangazia mienendo mbalimbali ya nchi zinazofuata na kuongozwa na demokrasia na katiba guru Kati ya watawala na watawaliwa, pia makala hii inasisitiza upatikanaji wa demokrasia kupitia misingi iliyowekwa ya haki na usawa kwa wote, Uhuru wa vyombo vya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.