Kenya pamoja na kuwa na katiba mpya ila inaonekana bado kuna mambo hayakuwekwa sawa katika katiba hiyo.
Mambo kadhaa bado hayajaweza kupatiwa ufumbuzi kupitia katiba yao mpya hayo ni pamoja na;
1.Ubadhirifu mkubwa wa pesa za umma,
Nchini Kenya pesa za walipakodi bado zinafanyiwa ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.