Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na sheria kandamizi, tume zisizo huru, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Matokeo yake ni kupungua...
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono.
Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
Wakuu
Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana.
Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya...
Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa.
Wasira ametoa...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani.
Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku moja.
Kutegemea hilo litatokea ni sawa tu na mashabiki na timu zao za Simba, Azam, Kagera, Mtibwa nk...
Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS).
RECORDED 📺 (22/06/2024 - Dodoma)👇🏼
https://www.youtube.com/live/9cpdC61xmgA?si=lcM2ol5EL11NRUhv
RECORDED 🎥 (15/06/2024 - Dar Es Salaam)👇...
Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania.
Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?.
RECORED🎥 (01/06/2024)👇
https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d
RECORDED 🎥...
Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA
Utangulizi
Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kujumuisha uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maono ya taifa...
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama tutashiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 kwa Katiba hii na Tume hii ya Uchaguzi amesema Lissu.
Lissu...
Kumekuwepo na Upotoshaji juu ya Madai ya Waislam Juu ya kipengere Cha dini katika Sensa
Kwanza kabisa Serikali ya CCM ndio wanaoleta Udini Katika Nchi na Kuwagawa Watanzania:
1. Mtu anapo kamatwa anaulizwa dini wakati polisi na serikali hawana dini. Hapa haki haiwezi kutendeka hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.