This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm alitakiwa kuchukua fomu ya kugombea kisha vikao vimjadili na kupitisha jina lake, mtindio huu pia...
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa.
Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi.
Hilo ni jambo linaonyesha kuna taratibu za chama ukitaka kugombea uteuliwe kua mgombe urais. Nchimbi ameongoza uhuni kwa kukiuka...
Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
"Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
Kuna baadhi ya viongozi wana vyeo ila hawazijui katiba, sheria za nchi, kanuni, miongozo, na taratibu. Elimu iendelee kutolewa, na kila mwenye kujua jambo amfundishe mwenzake.
Tusome Katiba ya CCM 1977, Toleo 2022, Uk. 02, Ibara ya 05(04). Wanachama wa CCM tunasisitizwa kusimamia utekelezaji wa...
Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama?
Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”.
Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
Habari!
Nilikua napita Republic of Twitter nikakutana na Reply ya Kigwangala akisema kua CCM wote ni utamaduni wao kusifia Rais haijalishi vipi.
Sa najiuliza kama watu walio wengi Bungeni kazi yao ni kusifia tu na sio kukosoa je hawa watu wataleta mabadiliko kweli?
Kumbe hizi Mama anaupiga...
Viongozi wa dola kupitia CCM kuanzia Wabunge, Madiwani na Wenyeviti Mitaa, Vijiji na Vitongoji hawaruhusiwi kugombea nafasi yeyote ndani ya chama. Ingawa wanaingia kamati za siasa ndani ya ngazi maeneo yao. Katiba ya CCM imewawekea utaratibu wa mtu mmoja nafasi moja.
Lakini ukiangalia katiba...
UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020.
Kama...
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
CCM imeitisha mkutano mkuu maalumu kufanya marekebisho ya katiba yake kwa kuwapa majukumu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), kuwarejesha kwenye NEC makatibu wa mikoa na kofia mbili kwa nafasi za uongozi wa juu.
Haya ni mabadiliko ya 17 kufanyika ndani ya chama hicho kilichoanzishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.