katiba ya chadema

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Katiba mpya sio Katiba ya CHADEMA au ya fulani ni Katiba ya Watanzania maskini

    Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
  2. Waufukweni

    Lissu akiri kushiriki kuondoa ukomo wa Uongozi katika Katiba ya CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameulizwa kuhusu ushiriki katika kuondoa ukomo wa muda wa uongozi katika Katiba ya chama hicho. Pia, Soma: - Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa...
  3. milele amina

    Katiba ya CHADEMA inahitaji marekebisho ya haraka

    Katika kipindi hiki ambacho nchi inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, ni muhimu kwa vyama vya siasa kuangalia upya katiba zao ili kuhakikisha ufanisi na uendelevu wa shughuli zao. Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ina muundo mbovu ambao unahitaji marekebisho ya...
  4. Mkunazi Njiwa

    "Mbowe must go " ni kuibananga katiba ya Chadema.

    Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"... Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo. Katiba ya Chadema iheshimiwe Katiba ya CCM nayo hivyo. Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi..... Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia...
  5. Mhafidhina07

    Kwani uimara wa CHADEMA upo wapi?

    watu wanatambua kuwa kuna vitu muhimu hua vinapimwa ili kuonesha uimara wa taasisi na vitu hivyo ni kama Katiba Structure ya uongozi Sera Imani na kiongozi bora Ili chama kiweze kuishi muda mrefu na kutimiza lengo kinahitaji mambo yote 5, hasahasa chama kikiwa ni kinajitafuta. CHADEMA naona...
Back
Top Bottom