This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Makamu wa Rais wa Kenya ameondolewa madarakani bila nguvu ya polisi kuonekana. Ameondolewa madarakani kwa kura za wazi na akipewa nafasi yakujtete bila TV kuzimwa.
Ameondolewa adharani kwa mfumo wa wazi bila kuwepo kwa maneno kwamba kuna watu wanahatarisha amani ya nchi. Ameondolewa katika...
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.
Dah hawa Wanasheria ni noma.
Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy...
Kenya imewasilisha Bunge la seneti mswaada wa kuongeza muda wa Rais Kutawala kutoka miaka 5 kwenda miaka 7 sanjali na kuunda nafasi ya Waziri Mkuu.
Kenya ambayo chadema huwa wanaitolea mfano ni mojawapo ya Taifa ambalo linatapatapa na linaelekea kuparaganyika huku Mabadiliko ya Katiba...
Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo.
Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
Huyo ndiye aliyewapa wa kenya katiba bora tofauti na vijitabu vya mataifa mengine. Baada ya kumaliza m.a ya uchumi huko uingereza alirudi kufundisha kabla hajatimukia kwenye siasa ambapo baada ya kifo cha kenyata moi alimeua kuwa makamu wa rais.
Akiwa makamu wa rais alipinga udikiteta wa moi...
Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo.
Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani.
Wakaja wakabadili Katiba yao na wakabadili kabisa mfumo wao wa Serikali. Tukawasifia.
Sisi hapa bado...
Ndugu zetu Kenya walipata katiba Mpya mwaka 2010.
1. Haki na wajibu zimeainishwa vyema, kuanzia Preamble mpaka kila ibara (japo by implications wanaruhusu 🌈 maana sheria inasema ndoa Ni muunganiko wa watu wawili bila kusema jinsia zao).
2. Rais kapunguziwa madaraka, yamepelekwa Kwa Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.