katiba ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Mfanyakazi wa ndani raia wa India anyongwa UAE kwa mauaji ya mtoto mchanga

    Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye. Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye sheria mkononi sana yenye mafundisho binafsi ambayo yenye chuki kuanzia ngazi zote bila kuweka...
  2. Mejjah92

    Soma katiba ya nchi yako ujue sheria na haki yako uwe jasiri maana tunaongozwa kwa katiba

    Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu: Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo. Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
  3. Yoda

    Serikali itenge siku maalum ya kitaifa kuadhimisha katiba ya nchi.

    Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya...
  4. chiembe

    Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  5. M

    Wanavunja katiba yao, watashindwaje kuvunja katiba ya Nchi?

    Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi? Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata Katiba ya chama chao. Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano bora kwa vyama vingine, lakini wao wameonesha...
  6. milele amina

    Kama CCM imeshindwa kuisimamia katiba ya chama chake, inawezaje kuisimamia katiba ya nchi?

    Utangulizi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa CCM katika kusimamia katiba yake yenyewe. Hali hii inatupa swali muhimu: kama chama hakiwezi...
  7. Genius Man

    Pre GE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  8. Genius Man

    Kama CCM imevunja katiba ya chama kwa kumpitisha mgombea wao bila kufuata utaratibu tutegemee kuvunjwa pia kwa katiba ya nchi kwenye uchaguzi mkuu

    Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa mbaya sana. Nilisema CCM isipitishe mtu kwasababu ni raisi au ni nani tukifanya hivi tutaharibu siasa...
  9. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday Dialogues" cha mtangazaji STVR. "Niliibuka na wazo la kujumuisha kipengele katika katiba...
  10. Mkalukungone mwamba

    TUGHE yalalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Nchi

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala ya wafanyakazi, jambo ambalo limekuwa kero na kuzuia ukuaji wa vyama hivyo pamoja na kudhoofisha hima...
  11. T

    Mwabukusi: Vijana wa kitanzania wanajua vifungu vyote vya FIFA ila hawana mpango wa kuijua wala kujua mapungufu ya katiba ya nchi yao

    Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao. My take Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi...
  12. Pdidy

    Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  13. Doctor Mama Amon

    Utovu wa nidhamu katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, unaohusisha usiginaji wa Katiba, unahalalisha wito wa “Samia Must Go”

    Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni: Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye...
  14. and 300

    Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

    1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa? 2. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
  15. R

    Zanzibar Insurance Company kukataza wageni wasio na Bima kuingia Zanzibar ni kukiuka Katiba ya Nchi. Wanasheria wa serikali kwanini mnaruhusu haya?

    Kuna vijana wapo kwenye taasisi za kibiashara ambao kwa ujumla hawana exposure. Kuna mambo yanafanywa na taasisi za umma ambayo naamini siyo shirikishi. Zanzibar Insurance wametoa tangazo kukataza wageni kuingia Zanzibar kuanzia Oktoba bila Insurance. Katika tangazo husika hakuna Sehemu...
  16. Blood of Jesus

    Ni lini nchi zetu za ulimwengu wa tatu zitaweza kuziishi katiba zao? Mfano Ibara hii hapa

    3.-(1) The United Republic is a democratic, secular and socialist state which adheres to multi-party democracy.
Back
Top Bottom