This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.
Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi...
Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo.
Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila.
Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
2. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.
Swali.
Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.
1. Nini maana ya Mungu
2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania
a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Hii katiba iliyopo ni shamba, ni mradi kuna watu wanaifurahia wao na vizazi vyao, wao na rafiki zao, wao na washikaji zao, kwa hiyo wasingependa kuiona ikibadilika kwa sababu ndiyo shamba lao watakula wapi? Na hili shamba ni kubwa na nono, ndiyo maana kila siku tunapigwa danadana. Lakini jambo...
Wanabodi,
Utambulisho
Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu tukajitambulisha tena humu who we real are, hivyo mimi mwana JF mwenzenu, Pascal Mayalla, (Pasco wa JF)...
Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo.
Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani.
Wakaja wakabadili Katiba yao na wakabadili kabisa mfumo wao wa Serikali. Tukawasifia.
Sisi hapa bado...
Wakuu,
CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga!
Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
ccm
club house
digital rights
katibayatanzania
kuelekea 2025
kuelekea uchaguzi 2025
kufungia x(twitter)
kuzima mitandao ya kijamii
uhuru wa kujieleza
uhuru wa kupata taarifa
uhuru wa kuwasiliana
uvccm taifa
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya
Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu Mitandaoni alibatizwa kama Prince
Tangu enzi za Nyerere taasisi ya urais iliwahusu pia Ndugu na...
Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania
Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa.
Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania
He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu!
Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na mjiridhishe iwapo Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu alikuwa sahihi au la kwenye hoja yake ya kuhusu...
Wanabodi,
Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977.
Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa?
1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.