katibu mkuu act

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Ado Shaibu: Niko tayari kujiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu, kama CCM itathibitisha ina wanachama Milioni 12.5

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5. Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Pesa tutakazotumia kuendeshea Uchaguzi, ziko mifukoni mwa wananchi

    Wakuu, Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi. ============================================ Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pesa za kufanikisha shughuli za...
  3. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya. Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Rais Samia alituhadaa na falsafa yake ya maridhiano kutupotezea muda

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao. “Kumbe Mheshimwa Rais alikuwa anatuhadaa kwa hiyo Rais akataka kwanza awe na kipindi cha kutokusumbuliwa ili aweze...
Back
Top Bottom