katibu mkuu kiongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Mkurugenzi wa wilaya ya Busega yuko juu kimamlaka kuliko Katibu Mkuu Kiongozi?

    Sisi baadhi ya walimu wa wilaya ya Busega ambao tuko 153,mnamo mwezi wa 7/2024 tulimwandikia mkurugenzi wetu ndugu Marco Kachoma barua ya kutuondoa chama Cha walimu CWT na kutuhamimishia chama Cha walimu CHAKUHAWATA,mkurugenzi huyu hakutaka kutekeleza jambo Hilo na mwezi wa nane kiongozi wetu...
  2. Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  3. Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  4. Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  5. Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  6. M

    Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

    Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari. Sasa mimi nauliza ni kina nani...
  7. Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  8. Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

    Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi...
  9. Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

    Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji! Kauli hiyo imenitia mashaka. Nimejiuliza iko wapi...
  10. B

    Waziri wa Utumishi na Katibu Mkuu Kiongozi, niwaombe mwarejeshe kazini waliofukuzwa kimakosa Kwa maamuzi ya kesi za prebagaining

    Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa na wengine kupoteza kazi kwa utashi wa WATU wachache walioelekezwa kufanya walivyofanya. 1. Wapo...
  11. Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti...
  12. B

    Katibu Mkuu Kiongozi, waelekeze watendaji serikalini watoe mawasiliano yao ili wananchi wawape taarifa

    Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za mawasiliano Kama Nampa ya simu, WhatsApp na email ambazo jumbe zitakazotumwa zitawafikia wao tu bila kusomwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…