Wakuu,
Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama.
Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone.
https://www.youtube.com/live/8aNDV9Y2klA?si=CGbtC53BNZ6A5_yt
Huyu hapa msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa anaingia kutumbuiza...
Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa...
Makalla hana :-
1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability)
2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea.
3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia athari za anachotaka kukiongea.
Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty...
Naomba nikiri kwamba Mh. Mbunge ni Mdogo wangu na ni Rafiki yangu pia, amekuwa Mwenyekiti wangu wa UVCCM wa Wilaya ya Meatu wakati nikiwa Mwenyekiti UVCCM Taifa lakini pia wakati nasoma degree ya pili Mzumbe yeye alikuwa anasoma degree yake ya kwanza na hajawahi kuacha kuwa mtatamtata hivi hata...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...!
Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana.
CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu.
1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi
2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda")
3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE
4...
Ni jambo jema
Kanisa Moja Takatifu La Mitume
Mlale Unono 🌹🌹
---
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.