katibu mkuu wa chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sauti ya Umma

    Pre GE2025 Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma, Majaliwa Kyara kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa

    Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa, kuelekea mwaka 2050 ni muhimu wanawake waajiriwa wakawa na muda mfupi zaidi kazini. Kyara amebainisha hayo Jumamosi Desemba 14, 2024 wakati akitoa maoni...
  2. Ojuolegbha

    Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  3. Pfizer

    LGE2024 Tanga: Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU), Majalio Kyara amewasihi Wananchi kutokuuza utu wao Serali za Mitaa

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Pesa inatafutwa lakini utu hautafutwi msikubali kuuza utu wenu kwa kurubunika kwa njia yoyote. Hayo...
  4. Ojuolegbha

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  5. Revolution

    Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

    NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze. Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu...
Back
Top Bottom