katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (ccm)

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Balozi Nchimbi aonya Viongozi Kutoa Kauli za Kibaguzi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi...
Back
Top Bottom