katibu tawala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  2. Roving Journalist

    Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  3. K

    LGE2024 Kauli Bi. Happiness Seneda ya kusema watakagua wasiopiga kura inaweza kuichonganisha Serikali na watumishi wa Umma. Rais tafadhali muondoe

    Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya katibu tawala wa mkoa wa Songwe aliyotoa siku ya jana, ya kwamba '....watawakagua wino watumishi ambao...
  4. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Katibu Tawala Mkoa (RAS) ahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura

    Wakuu, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wanaowahitaji. Bi Zuwena ametoa wito huo leo Novemba 27, 2024 mara baada ya kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa.
  5. Roving Journalist

    Katibu Tawala Simiyu: Elimu ya kujikinga na Kipindupindu kutolewa kwa Lugha ya Kisukuma na Kiswahili

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu. Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
  6. chiembe

    Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

    Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!? Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Arusha hajaenda kuushughulikia? ======= Mbio za Mwenge wa Uhuru leo July 26th, 2024 zimeingia katika...
  7. benzemah

    TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo. Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo. Picha kutoka eneo ilipotokea...
  8. Mdude_Nyagali

    Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

    Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
  9. Mjanja M1

    Katibu Tawala Songwe: Mke mwenye pesa haachwi kisa Mchepuko

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
  10. saidoo25

    Katibu Tawala wa Wilaya aingilia kati sakata la Bandari, amuonya Wakili Boniface Mwabukusi

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha amejitosa kwenye sakata la Bandari na kumuonya Wakili Mwabukusi na kuomba ashughulikiwe hili hapa andiko lake
  11. BARD AI

    Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  12. Influenza

    Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  13. Analogia Malenga

    Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
  14. B

    Ni kiongozi gani hubeba maono ya mkoa au jiji - ni RC, RAS au Mkurugenzi?

    Napata Wakati mgumu kujua kimfumo ni Kiongozi yupi anayebeba maono au vision nzima ya mkoa au jiji? Najiuliza kwa sababu juzi wameteuliwa wakuu wa Mikoa na niliamini wao ndio wasimamizi wa malengo, maono na mipango ya Mkoa. Kinyume chake ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma pekee ndiye aliyetoa hotuba...
Back
Top Bottom