Wakuu,
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amesema falsafa ya maandalizi ya umma inasema kuwa umma hauandaliwi kwa nguvu bali hukubali wenyewe.
Makalla ameongeza kuwa kwa umma uliojitokeza katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni...
Nilishauri wakati alipotenguliwa Makonda kuwa nafasi hiyo inamfaa sana Nape.
Bado nashauri tena baada ya kuondolewa kwenye Uwaziri, Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Katibu Muenezi.
1. Ana uzoefu
2. Ana vibe
Nashauri arudishwe kwenye nafasi yake.
Pia soma=> Uteuzi na Utenguzi: Nape, January...
Ni moto, si, tu kwa Upinzani bali pia kwa waliolala na kujibweteka kwa kufanya kazi kwa mazoea ndani ya chama na ndani ya serikali iliyopo mamlakani.
Huyu kijana si tu mwanasiasa bali pia mwanaharakati mahiri nchini. Ana hulka za jino kwa jino, sina hakika kama kabadilika.
kwa maoni yangu...