.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.
Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana.
Na kwa uziada wapo walopita shule kijanja janja tu so hawako na uwezo...
Wakuu,
Baada ya jana kukamatwa kwa Mwenyekiti wa NETO, leo zimeibuka taarifa kwamba Katibu wa Jumuiua hiyo amekamtwa na Jeshi La Polisi.
Kupitia mtandao wa X, NETO waliandika kwamba:
Katibu NETO Bw. Daniel Edger Mkinga amekamatiwa Kibaha Miembe Saba nyumbani kwake majira ya usiku wa saa tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.