katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

    Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa. Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake...
  2. Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini. Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
  3. Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  4. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa Naibu Makatibu Wakuu. Dkt. Msonde kulamba asali TAMISEMI (Elimu)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
  5. U

    Rais wa Ukraine alaani vikali ziara ya Katibu Mkuu wa UN jijini Moscow

    Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv. Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
  6. Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni. “Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
  7. B

    Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  8. B

    Katibu Mkuu wa CCM atoa maagizo wakati huu chaguzi ndani ya chama zikiendelea

    KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
  9. Maaskofu KKKT wacharuka - Katibu Kitundu Aliwalisha Maneno Alipozungumzia Mgogoro wa Konde

    Kitundu si msemaji wa Baraza au Faragha ya Maaskofu Taarifa aliyoitoa kwenye vyombo vya habari, ilikuwa ya uongo kwa sababu maamuzi yaliyofanywa na Askofu Shoo kumuondoa Mwaikali kwenye Uaskofu, hayakufuata katiba ya KKKT Dayosisi ya Konde na wala hayakupewa baraka kwenye mkutano wa Maaskofu...
  10. Katibu wa uhamasishaji na chipukizi UVCCM taifa, Victoria Mwanziva akutana na wahamasishaji UVCCM ngazi ya tawi

    KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA AKUTANA NA WAHAMASISHAJI UVCCM NGAZI YA TAWI 27.03.2022 - Dar-Es-Salaam Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Mwanziva ashiriki Darasa la itikadi Tawi la UVCCM Msakuzi Mashariki - Kata ya Mbezi -...
  11. T

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa cde. Victoria Mwanziva ateta na wanafunzi kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii

    Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam) Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
  12. Ghana: Mishahara ya Mawaziri na Rais yapunguzwa kwa 30%

    Rais wa Ghana Nana-Akufo Addo na mawaziri wake wamepunguza mishahara yao kwa kiwango cha asilimia 30 kama hatua za kupunguza matumizi ya serikali, wakati nchi inakabiliwa na gharama kubwa za mafuta kutokana na mzozo wa Ukraine na kukwama kwa mswada wa sheria kuhusu kodi mpya. Waziri wa fedha...
  13. B

    Katibu wa Sekretariati ya Ajira simamia haya

    ASALAAM, KATIBU MKUU aliyekuwa secretariate ya ajira tunaomba ayangalie haya kipindi cha daudi yalisimama vizuri sana. Tunamuomba ayasimamie haya: 1. Usaili unapangwa zigzag tu mwanzoni tulikuwa tunfanya usaili kwa siku tatu mfululizo mfano tar 10,11,12 ili hata kama mtu umechukua loji uweze...
  14. B

    Nukuu za Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa, Shaka Hamdu Shaka kwenye kongamano Arusha

    BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI. #KaziIendelee #ChamaImara #SamiaMpangoMzima. End.
  15. B

    Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?

    Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa...
  16. B

    Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
  17. Victoria Mwanziva amuwakilisha Katibu Mkuu UVCCM katika msiba wa Katibu UVCCM mkoa wa Tabora

    Comrade Victoria C. Mwanziva Amuwakilisha Katibu Mkuu UVCCM Katika MSIBA wa KATIBU UVCCM MKOA TABORA Kwa Niaba ya Katibu Mkuu UVCCM Taifa; Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa- Ndg. Victoria Mwanziva Sambamba na Viongozi wa UVCCM Wilaya za Arusha. Viongozi wa UVCCM Mkoa wa Arusha...
  18. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3 Machi 2022 ameshiriki utoaji wa Elimu kwenye Kambi maalumu ya Mabinti

    KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA ASHIRIKI UTAOAJI WA ELIMU YA UONGOZI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani Tarehe 8 machi 2022, Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3...
  19. Donald Trump akimkemea katibu wa NATO Jens Stoltenberg kuhusu nord stream 2

    Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea. Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
  20. Katibu mkuu CHADEMA atoa Tamko kuhusu Freeman Mbowe na wenzake

    ====
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…