Sorry wakuu mimi mdogo wenu kuna muda najiwazia tu.
Back to the point,Hivi hii misaada ya nchi za Magharibi inayokuja Afrika usalama wake ukoje?
Hapa namaanisha:net,vifaa vya uzazi wa mpango,vyakula,dawa nk. Mfano net zao tunaambiwa zimetiwa sumu ya kuua mbu ila sijawahi kukuta mbu chini...