katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo yanayo shusha thamani ya mwanamke katika jamii(Duniani)

    Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii. 1. Mahari 2. Ndoa 3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare) 4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50) 5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa) Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )
  2. JamiiForums Tanzania Endeleeni kujifanya mmejikita katika Mjadala wa Bandari na kuacha suala la ngano na mchele

    Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi. Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo. Nchi ya India...
  3. JamiiForums Tanzania Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    "Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga. "Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  6. JamiiForums Tanzania Ongezeko dogo katika kodi ya majengo (property tax)

    Taken somewhere !
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

    Vilio vya Ukata na Biashara kupromoka vimeanza kusikika kutoka Chato kufuatia Mji kubakia magofu 😁😁 My Take Tuliwaambia lakini hamkusikia johnthebaptist ona Sasa mataa yanaongoza baiskeli 😁😁 “Mara ya mwisho kushuhudia wageni wengi na kupata hela nyingi ni wakati wa msiba wa Rais Magufuli”...
  8. JamiiForums Tanzania Nawaasa vijana wale wanaotaka kuingia katika ndoa

    Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa. Kiufupi wote tuna Mishahara. 1. Kuu kuliko yote hakikisha Mchumba Mke ama Mume anamuelezea mwenzie mahitaji...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Katika Sekta Yote: Mwongozo wa Hatua za Mabadiliko

    Kichwa Cha Andiko: Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo: 1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa uongozi na uwajibikaji. Hakikisha kuwa majukumu na wajibu wa kila mtu wanaeleweka wazi. Weka njia za...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Usafiri wa barabara katika miji/majiji kwa maendeleo endelevu (mfano kazi jiji la Dar Es Salaam)

    A: UTANGULIZI. Usafiri ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni mbalimbali. Maendeleo ni hali ya kukua kifikra, kiuchumi, siasa, kijamii au kiutamaduni kutoka hali duni kwenda hali bora kuliko awali. Maendeleo endelevu ni maendeleo ambayo kutokea kwake...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

    UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi ya Mtoto hutoa mwelekeo katika maisha yake

    Mtoto ni hazina ya taifa. Malezi ya mtoto huanza pale anapozaliwa na kuanza kujenga uhusiano baina ya mtoto na mzazi au mlezi wake. Naposema malezi bora aidha kutoka kwa mzazi wake au mlezi hupelekea mwelekeo au dira ya mtoto kama wahenga walivyosema "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" hapa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika nafasi za kuteuliwa

    Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama zimekuwa za kisasa zaidi na wanafunzi takriban 100,000 wanajiunga na vyuo vikuu kila mwaka, nchi yetu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Sigalla: Ushiriki wa Marie Stopes Tanzania katika Tuzo ya EJAT utasaidia kuondosha mitazamo potofu juu ya Afya ya Uzazi

    Dr. Geofrey Sigalla Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti. Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
  17. JamiiForums Tanzania Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Kweli tumekosa Wahariri wakutuonesha ata mapungufu ya wazi katika IGA ya Tanzania na DP World?

    Moja ya kitu cha wazi ni pale wataalamu wakina PHD Johari wanasema si bandari zote ila ni Bandari ya Dar es Salaam pekee! Hivi ni kweli waandishi wa habari wote Tanzania hawajasoma Headline ya IGA? hawakuelewa? walishindwa ata kuona ufafanuzi wanautoa upande wa Serikali una warakini? Tumepewa...
  19. X

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya kiteknolojia katika kutatua changamoto za BRELA (Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania)

    BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Shuhuda au Mikasa ya kimaisha katika kumtumikia shetani

    Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda. Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano. Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu. Mchaguzi wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…